Thursday, April 16, 2015


Na George Mganga
Barcelona ikishinda ugenini usiku wa jana kwa mabao 3-1 dhidi ya PSG, mshambuliaji klabu hiyo, Lionel Messi amekiri kwamba hakujisikia vyema baada ya kukabiliwa na jeraha.
Messi hakufanikiwa kufunga goli, lakini alipiga pasi ya mwisho kwa Neymar aliyefunga goli la kwanza.

Raia huyo wa Argentina alikosa kupata taji lolote msimu uliopita mbali na kupoteza mechi ya fainali ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Ujreumani.

Lakini mchezo wake umaimarika tena msimu huu na kuweza kufunga mabao 45 katika mechi 44. Katika mkesha wa mechi ya robo fainali dhidi ya Paris St-Germain ,alisema

"Ni mwaka mmoja sasa nimejaribu kusahau haraka yale yaliotokea kupitia juhudi,kazi furaha".

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anahitaji bao moja ili kufikisha mabao 400 ya Barcelona wakati ambapo wanachuana dhidi ya PSG kwa mara tatu katika mechi hizo msimu huu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video