Newcastle United ipo katika wakati mgumu baada ya
kupoteza mechi tano mfulululizo za ligi kuu England na kuporomoka mpaka nafasi
ya 13 katika msimamo na hali hiyo imewaudhi mashabiki wake ambao wameamua kugomea
mechi ya nyumbani itayopigwa jumamosi ya juma hili dhidi ya Tottehham.
Kocha Mike Ashley amekuwa na mwenendo mbovu katika
uwanja wa Mtakatifu James Park na mgomo huo wa mashabiki unashinikiza uongozi
wa klabu kumchukulia hatua meneja huyo.
Katika mechi tano walizopoteza, Newcastle walifungwa
bao 1-0 na Manchester United, wakafungwa magoli 3-0 dhidi ya Everton,
wakapoteza 2-1 dhidi ya Arsenal, wakafungwa tena 1-0 na Sunderland na mechi ya
mwisho wakafungwa 2-0 dhidi ya Liverpool.


0 comments:
Post a Comment