Thursday, April 16, 2015


Wakati watu wengi wakiamini Jurgen Klopp anaweza kujiunga na Manchester City baada ya kutangaza kuondoka Borussia Dortmund mwishoni mwa msimu huu, vyanzo vya habari vinaeleza kuwa kocha huyo hatakuwepo kwenye kinyang’anyiro cha kutua Etihad kama mabingwa hao watetezi wa ligi kuu England wataamua kumfukuza Manuel Pellegrini.

Licha ya kocha huyo wa zamani wa Mainz kuwa na rekodi nzuri ya kushinda mataji mawili ya Bundesliga na moja la DFB-Pokal akiwa na Dortmund na kufika fainali ya ligi ya mabingwa mwaka 2013, Man City hawaoni haja ya kumpa kipaumbele cha kumteua kuwa kocha wao.

 Pellegrini ambaye amebakiwa na mwaka mmoja katika mkataba wake yupo katika wakati mgumu  baada ya Manchester City kupoteza mechi sita kati ya nane walizocheza za ligi kuu pamoja na kutolewa mapema ligi ya mabingwa barani ulaya.

Tayari Pep Gaurdiola wa Bayern Munich anaripotiwa kuwa chaguo la kwanza kutua Etihad, lakini kocha huyo wa zamani wa Barcelona ameweka wazi kuwa anahitaji kuendelea kufanya kazi Allianz Arena msimu ujao

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video