Raheem Sterling ambaye aliiambia BBC wiki iliyopita kuwa amekataa mkataba wa kulipwa mshahara wa pauni 100,000 kwa wiki Liverpool- anaonekana hapa na wachezaji wenzake Martin Skirtel, Simon Mignolet na Daniel Sturridge, wakionesha jezi mpya watakazovaa msimu ujao. Jezi hizo zimezinduliwa siku ya Ijumaa.
Saturday, April 11, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment