Mechi kati ya magwiji wa Barcelona vs magwiji wa Tanzania inafanyika kesho pale Uwanja wa taifa. Kama unawaza sehemu ya kuiona hii mechi basi jibu ni kwamba kuna sehemu moja tu ambayo ni uwanjani. Mechi hii haitaonyeshwa kwenye kituo chochote cha TV.
So kitu kizuri unachoweza kufanya hivi sasa ni kujipanga na kwenda kununua ticket kwa ajili ya mechi hapo kesho pale uwanja wa taifa. #TukutaneTaifa


0 comments:
Post a Comment