Haya ni majibu ya mswali mengi kuwa ni kalbu gani ya ligi kuu nchini Uingereza ambayo ni maarufu au ina 'sapoti' kubwa ya mashabiki ulimwenguni kwa mujibu wa mtandao wa twitter.
Kwa mara ya kwanza kabisa , mashabiki waweza kuona taarifa hizi kwa jinsi gani vilabu vyao vinatofautiana kwa idaidi ya watu wanaovihusudu vilabu hivyo ulimwenguni kwa ujumla.
Hivyo, ni kwa nmana gani sasa takwimu zinaonesha?
NI NAMNA GANI HII KITu INAWEZA KUFANYA KAZI?
Ramnai imechora kwa kuzingatia wafuasi kwenye mtandao wa Twitter kwa kila klabu, huku ikitumia wafuasi hao kama kielelezo cha uthibitisho huo.
Mashabiki wanaweza kuona ramani hiyo ili kujionea wenyewe ni shemu gani ambayo timu yao zao zinaongoza kuwa na mashabiki au 'sapoti' kubwa ulimwenguni, hebu chukua muda wako kuangalia idadi ya mashabiki wa timu yako dhidi ya klabu nyingine.
Liverpool pengine ndiyo klabu ambayo inaonekana kusuasua katika msimu huu wa EPL pengine isipate nafasi ya kushiriki michuano ya Klabu bingwa barani Ulaya msimu ujao, lakini kwa upande wa Twitter ndio klabu inayoongoza kuwa na wafuasi wengi United Kingdom (UK).
Arsenal wao wapo vizuri maskani yao jijini London hasa upande wa kusini mashariki mwa jijini hilo huku ikiwapiku mahasimu wao, Chelsea na Tottenham.
Napo kwa upande wa Manchester, ujio wa Louis van Gaal umeongeza idadi ya wafuasi hasa katika eneo la Gorton ambapo ndio ngome kuu ya mahasimu wao Man City na pia wanapashika UK.
Chelsea kwa upande wao wana sapoti kubwa katika mji wa Isles Magharibi, wakati klabu kama Newcastle, Sunderland, Hull City, Burnley, Stoke City, Leicester City, Aston Villa, Swansea na Southampton wao wanatawala maeneo yao wanayotoka.
Lakini wakati Liverpool ikitawala soko la UK kwa ujumla, ushawishi wao katika sehemu nyingine za ulimwenguni sio mkubwa sana wala wa kuvutia.
Majogoo hao wa jiji la Liverpool wanashika sana maeneo ya Thailand, Norway, Iceland, Uruguay na lakini imejikuta ikishika mkia mbele ya klabu nyingine kubwa za nchini Uingereza.
Kwa mfano, maeneo mengi yaliyobakia bara Asia mbali na Thailand, Manchester United ndiyo inaonekana kuwa na wafuasi wengi zaidi kama vile India na Pakistan huku wakiwazidi pia Chelsea maeneo ya Malaysia na Indonesia pai. Wakati maeneo ya Japan, South Korea na Ufilipino, Arsenal ndiyo inaonekana kuwa mbabe kwa wote.

Hii ni UK ambayo kwa kiasi kikubwa Liverpool ndiyo inaonekana kukamata vilivyo.

Hii ni Amerika ya Kusini ambayo kwa kiasi kikubwa Chelsea ndiyo wanaongoza kwa wafuasi.

London na maeneo ya kusini mashariki ambayo yana rangi ya njano ndiyo ambapo Arsenal wako juu sana, huku rangi ya bluu ikiashiria idadi ya wafuasi wa Chelsea huku kijani ikiashiria wafuasi wa Liverpool.

Amerika ya kusini, maeneo yenye njano, Arsenal ndiyo wanatawala huku Chelsea wenye rangi ya bluu wanafuata na Manchester United wenye vidoti vya rangi nyekundu wakimalizia.

Man u ndiyo viongozi kwenye bara la Asia wenye vidoti vyekundu hapo.

Liverpool, kwa upande wa Australia ndiyo wanashika hatamu

0 comments:
Post a Comment