Friday, April 17, 2015

 Etoile du Sahel wametua Saa 10:10 Alfajiri kwa Ndege ya kukodi ya kampuni ya Nouvelair bj 4870 wakiwa na msafara wa watu 56 kwa ajili ya mchezo huo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika.
Msafara wao umeongozwa na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tunisia (FTF), Krifa Jalel na wamekuja pia na Rais wa klabu yao, Charefeddine Ridha, wachezaji 19, benchi la ufundi lenye watu 13, Waandishi wa Habari 12 na wapenzi 10.
Baada ya kutoka ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Etoile du Sahel walipokewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro, walielekea katika hoteli ya Ledger Plaza zamani Bahari Beach eneo la Kunduchi.


Mkwara mbuzi! jamaa anaonesha vidole vitatu akimaanisha Yanga wanakufa 3-0 kesho. (Picha kwa hisani ya Naipenda YANGA)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video