Friday, April 10, 2015

Beki wa kulia wa Wekundu wa Msimbazi Simba SC, Ramadhani Kessy amekabidhiwa rasmi nyumba na klabu yake hiyo.
Hayo yamekuja baada ya beki huyo kugoma kuichezea klabu yake mara baada ya viongozi kutotimiza makubaliano ambayo waliwekeana kwenye mkataba pindi walipokuwa wanamsajili.
Hata hivyo kuhusiana na madai ya fedha ambazo ni kiasi cha shilingi ml 5 ambazo alikuwa hajamaliziwa, uongozi wa klabu hiyo umesema kuwa upo katika mazungumzo na mchezaji huyo ili kuweza kulimaliza sua;la hilo.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde, endelea kuufuatilia kwa makini mtandao huu

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video