ARSENAL wameshinda mechi ya nane mfululizo baada ya Aaron Ramsey kuifungia goli katika ushindi wa 1-0 waliovuna ugenini dhidi ya Burnley.

Ramsey akishangilia goli lake
Ramsey alifunga goli hilo mapema dakika ya 12' na ushindi huo umewafanya wawe nyuma kwa pointi nne dhidi ya vinara Chelsea, lakini Wazee hao wa darajani wana michezo miwili mkononi kuanzia wa kesho jumapili dhidi ya QPR.

HUU NDIO MSIMAMO MPYA BAADA YA MECHI ZA LEO



0 comments:
Post a Comment