Wednesday, February 18, 2015

Referee Alberto Undiano (left) shows Xabi Alonso a red card for two bookable offences on his 100th Champions League appearance 
KIUNGO mkongwe wa Bayern Munich, Xabi Alonso jana amefikisha mechi ya 100 ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, ingawa mechi hiyo ya raundi ya 16 ya UEFA haikuwa nzuri kwake kwani alioneshwa kadi nyekundu  zikisalia dakika 25 mechi kumalizika.
Licha ya Bayern Munich kuonesha kandanda la hali ya juu kama walivyofanya walipoitandika Hamburg SV mabao 8-0 mwishoni wa juma lililopita, hawakuweza kufua dafu mbele ya wenyeji Shakhtar Donetsk na kadi nyekundu ya kiungo wa zamani wa Liverpool na Real Madrid haikuwa na madhara yoyote.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video