Kiungo mshambuliaji wa klabu ya washika mitutu wa London Arsenal Santiago Cazorla, amekubali kurudi kwao nchini uhispania kujiunga na Mabingwa wa ligi kuu nchini humo klabu ya Atletico Madrid.
Cazorla amekuwa katika kiwango cha hali ya juu hivi siku za karibuni baada ya kumiliki katika safu ya kiungo ya klabu ya Arsenal inayoongozwa na naodha Mikel Arteta ambae kwa sasa ni majeruhi katika kikosi hicho chini ya kocha Arsene Wenger, lakini bado klabu ya Atletico haijatangaza dau la kumnasa kiungo mahiri.



0 comments:
Post a Comment