Saturday, February 28, 2015



LUIS Suarez ameendeleza cheche zake za kufumania nyavu baada ya kufunga goli katika ushindi wa 3-1 waliopata Barcelona usiku huu dhidi ya Granada.
Nyota ya Suarez iliwaka pia katika mechi ya ligi ya mabingwa dhidi ya Manchester City na amerudi kwa kasi La Liga.
Zaidi mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool, alichangia goli la kwanza na la tatu la Barca na sasa wamebakiza pointi moja kuwakamata vinara Real Madrid wanaocheza kesho usiku dhidi ya Villarreal. 
Suarez wheels away in celebration after doubling the lead for Luis Enrique's side minutes after half time on Saturday
Suarez akishangilia goli lake
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
Granada: Oier; Nyom, Babin, Cala, Foulquier; Iturra, Rico, Marquez (Rochina 67); Bangoura (Candeias 79), Ibanez, Cordoba (Isaac 78)
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Martins, Perez, Roberto, Murillo
Mfungaji: Rico 53
Kadi ya njano: Marquez
Barcelona: Bravo; Alves, Bartra, Mathieu (Busquets 75) , Alba; Mascherano, Xavi (Rafinha 65), Rakitic; Messi, Neymar, Suarez (Pedro 79)
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ter Stegen, Montoya, Iniesta, Correia
Wafungaji wa magoli: Rakitic 26, Suarez 48, Messi 70
Kadi ya njano: Suarez, Neymar, Mathieu
Mwamuzi: Santiago Jaime Latre

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video