Saturday, February 28, 2015

MANCHESTER United inachuana na Sunderland katika mechi ya ligi kuu England inayopigwa uwanja wa Old Trafford jioni ya leo.
Cha kushangaza kuelekea katika mechi hiyo, Louis van Gaal  amekiri kuwa timu hiyo haina mshambuliaji wa kati mpaka sasa.
Mechi ya leo itatoa sura kama Man United wataingia UEFA msimu ujao na kama Van Gaal ataanza kufuzu ligi ya mabingwa katika msimu wake wa kwanza yatakuwa mafanikio makubwa kwa klabu.
Angel di Maria and Rooney are put through their paces as Manchester United training gets underway
Van Gaal anaamini washambuliaji wake watatu,  Radamel Falcao, Wayne Rooney na Robin van Persie hawajafikia kiwango kinachotakiwa msimu huu.
Kocha huyo wa United amesema: "Siwezi kukataa, Robin van Persia hawezi kukataa, Falcao hawezi kukataa na Rooney hachezi sana nafasi hiyo, lakini hatuwezi kukaa kuwa kwa sasa hatuna mshambuliaji ambaye atafunga magoli 20 kwa msimu"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video