Saturday, February 28, 2015

FAINALI ya Kombe la Capital One inataraji kupigwa kesho siku ya Jumapili katika dimba la Wembley ambapo itazikutanisha timu mbili kutoka jiji la London,Chelsea na Tottenham Hospur.
Mchambuzi na mtabiri mahiri wa soka kutoka nchini Uingereza,Paul Merson amekuja na kutoa utabiri wake katika pambano hilo linalotaraji kuvuta hisia za mashabiki wengi wa soka.
Merson katika ubashiri wake alisisitiza kwamba klabu ya Chelsea itafanikiwa kunyakua taji hilo ambalo lilikuwa linatetewa na Manchester City.

Chelsea 2 - 1 Tottenham

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video