
Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakiwa kwenye steji moja, lakini hali ya hewa ilikuwa nzito mjini Zurich
ALIYESTAHILI ameshinda. Huu ulikuwa mwaka wa Cristiano Ronaldo, miezi 12 ya kiwango cha juu kwake. Imekuwa vizuri hata kwa mtu ambaye hampendi alikiri hilo.
"Kweli, alistahili," Lionel Messi alitamka hayo kupitia kinywa chake kilichojaaliwa. "Alistahili"
Kuna 'uadui' mkubwa baina ya Ronaldo na Messi, lakini sio uadui wa kuuendeleaza. Jana ilidhihirika wakati wawili hao walitembea pamoja katika chumba kimoja mjini Zurich kabla ya kuanza mkutano na waandishi wa habari.

Messi na Ronaldo, hapa wakiwa na Manuel Neuer, hawakuonekana kuwa na furaha baina yao

Ronaldo (kushoto) na Messi (katikati) kila mtu akikaa kivyake jana wakati wa tuzo ya Ballon d'Or

0 comments:
Post a Comment