
Cristiano Ronaldo alishindwa tuzo ya Ballon d'Or 2014, lakini hakupata kura ya Roy Hodgson

Kura ya kwanza ya Hodgson ya Ballon d'Or ilienda kwa nyota wa Barcelona na Argentina, Javier Mascherano
MSHINDI wa Ballon d'Or, Cristiano Ronaldo hakupata kura hata moja kati ya tatu za kocha wa England, Roy Hodgson, badala yake kocha huyo alimpigia kiungo wa Barcelona Javier Mascherano.
Pia kocha huyo hakumpigia Lionel Messi na chaguo lake lilikuwa nahodha aliyeshinda kombe la dunia na Ujerumani, Philip Lahm na chaguo lake lake la pili alimpigia golikipa Manuel Neuer ambaye alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda.
Hodgson alimuongoza kwa muda mfupi Mascherano kufuatia kuwa bosi wa Liverpool mwaka 2010 kabla ya kiungo huyo kutimkia Barcelona miezi miwili baadaye.

0 comments:
Post a Comment