
MAISHA ya mpira hayatabiriki..wakati Arsenal
wanaomboleza ‘kilio’ cha kupigwa 2-0, Man City wakishangilia ushindi wa 3-2,
Man United wakijifariji kwa sare ya 1-1, Chelsea wao mwaka mpya umekuwa mchungu
zaidi ya kawaida.
Kikosi hicho cha Jose Mourinho, pengine kocha mwenye
maneno mengi zaidi duniani kimepigwa mabao 5-3 na Watukutu wa London, Tottenham
Hospur.
Magoli ya Spurs yamefungwa na Kane 30, 52; Rose 44; Townsend 45 (pen);
Chadli 78 .
Mabao ya Chelsea yametiwa kambani na Costa 18; Hazard 61;
Terry 87
BAADA YA MECHI ZA LEO MSIMAMO WA EPL UMEKUWA HIVI


0 comments:
Post a Comment