Monday, September 8, 2014


Elated: Albania players celebrate their upset win over Portugal in their Euro 2016 qualifier
Kazi kwisha: Wachezaji wa Albania wakishangilia baada ya kuilaza Ureno katika mchezo wa kuwania kucheza Euro 2016

URENO ikiwa bila nyota wake Cristiano Ronaldo imechapwa bao 1-0 katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Albania katika mchezo wa ufunguzi wa kuwania kufuzu fainali za Euro 2016.
Baada ya kufanya vibaya kombe la dunia majira ya kiangazi mwaka huu nchini Brazil, Ureno jana usiku walishindwa kusawazisha bao la dakika za mapema kipindi cha pili lililofungwa na  Bekim Balaj.
Hata kama Ronaldo hakuwepo, Fabio Coentrao na Nani - waliongoza timu ya Ureno katika mchezo huo wa kundi I, lakini walishindwa kujibu mapigo.
Nani aliyesajiliwa kwa mkopo na Sporting Libson kutokea klabu ya Manchester United alipiga krosi nyingi za hatari, lakini washambuliaji wenzake walishindwa kuzibadili kuwa magoli.
Shock: Albania forward Bekim Balaj (centre) celebrates giving his nation the lead over Portugal in Aveiro
Mshituko: Mshambuliaji wa Albania, Bekim Balaj (katikati) akishangilia baada ya kufanga bao la kuongoza dhidi ya Ureno mjini Aveiro
On the turn: Bekim Balaj scored a cracking volley that came in from behind his body to win the match
Kitu cha ukweli: Bekim Balaj akifunga goli la kuongoza

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video