Tuesday, September 9, 2014


Job done: England boss Roy Hodgson celebrates during his side's 2-0 win in Switzerland
Kazi kwisha: Bosi wa England, Roy Hodgson aliiongoza England kushinda dhidi ya Uswizi

ROY Hodgson amedai timu yake ya England iliyosheheni vijana wengi imeanza kazi rasmi baada ya Danny Welbeck kufunga mabao mawili katika ushindi wa jana wa 2-0 dhidi ya Uswizi kuwania kufuzu Euro 2016.
Mabao hayo yalipunguza presha ya kocha huyo ambaye anakosolewa kwa soka 'mbofu mbofu'.
Ushindi huo wa kwanza katika kampeni za kufuzu Euro 2016 umekuwa faraja kwa Hodgson ambaye alichemsha vibaya katika fainali za kombe la dunia majira ya kiangazi mwaka huu nchini Brazil.
Alisema: "Hatukuwa na bahati kule Brazil. Kwa sasa tumetoa meno yetu, tutawamaliza na kusonga mbele".
At the double: Danny Welbeck wraps up victory for England
Mkali wa nyavu: Danny Welbeck aliifungia England mabao yote mawili

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video