Tuesday, September 9, 2014


Partnership: Chelsea's agreement with kit sponsors Samsung ends at end of the season
Washirika: Mkataba wa Chelsea na Samsung juu ya udhamini wa jezi unamalizika mwishoni mwa msimu huu.

INAFAHAMIKA  kuwa shirika la ndege la nchini Uturuki (Turkish Airlines) linapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya udhamini wa Chelsea kutoka kwa wadhamini wa sasa, Samsung.
Mkataba wa Samsung kudhamini jezi ya Chelsea unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Shirika hilo kubwa  la ndege barani ulaya ambalo linawadhamini nyota wa soka, Lionel Messi na Kobe Vryant, siku za karibuni limeidhamini Barcelona, Manchester United na timu ya Taifa ya Uturuki.
Samsung wameidhamini Chelsea tangu mwaka 2005 chini ya Mkurugenzi mkuu wa zamani Peter Kenyon ambaye alisema klabu itaitangaza vizuri rangi ya bluu duniani.
Chelsea waliongeza mkataba wa udhamini wa jezi yao na Samsung mwaka 2013, lakini wadau wengi wa soka hawakufahamu sana kwasababu haikutangazwa.
Launch: Chelsea boss Jose Mourinho (left) and then Chief Executive Peter Kenyon at launch in 2005
Uzinduzi: Bosi wa Chelsea, Jose Mourinho (kushoto) na Mkurugenzi mkuu wa wakati huo, Peter Kenyon wakizindua udhamini mwaka 2005

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video