Sunday, September 7, 2014


Youthful: A younger-looking Louis van Gaal during his coaching days in Holland
Enzi za ujana: Louis van Gaal Anaonekana kijana enzi hizo akifundisha nchini Uholanzi.

KOCHA wa zamani wa Louis van Gaal, Barry Hughes amedai kuwa ingekuwa vizuri zaidi kama kocha wa sasa wa Manchester United angefanya kazi ya ualimu kuliko umeneja wa timu ya mpira wa miguu.

Muwelshman Hughes, ambaye alimfundisha van Gaal  akiwa Sparta Rotterdam mapema miaka 1980, amekiri kushangazwa na kitendo cha Mholanzi huyo kukua na kuwa kocha bora.
Louis ni mtu ambaye sikumfikiria kama atakuwa kocha wa mpira. Kwa wakati wote nilidhani atarudi darasani kuwa mwalimu wa mpira. Sikuamini kama atakaa kwenye mchezo. Sikumuangalia kabisa na sikudhani".
"Ni mtu mwenye kipaji cha aina yake, ndio maana amekuwa kocha wa heshima" Hughes aliwaambia The Sunday People
Learning the ropes: van Gaal (right) with Spitz Kohn (left) during Lisbon v Ajax in September, 1988
Akiwa darasani: van Gaal (kulia) akiwa na Spitz Kohn (kushoto) kwenye mechi ya Lisbon v Ajax mwezi septemba 1988

Licha ya  Hughes kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa ukocha wa  van Gaal, kocha huyo wa zamani wa Uholanzi amefanya kazi ya kufundisha kwa miaka 28, na katika miaka 23 ameongoza timu kubwa barani Ulaya.
Baada ya kuondoka Sparta Rotterdam mwaka1986,  klabu aliyoichezea kwa muda mrefu , van Gaal alienda kwa muda mfupi AZ Alkmaar, kabla ya kuwa kocha msaidizi.
Baadaye alijiunga na Ajax kwa kazi hiyo kabla ya kuwa kocha wa klabu hiyo mwaka 1991.
Kutoka hapo, Mholanzi huyo aliiongoza Barcelona mara mbili, Bayern Munich mara moja na sasa anaifundisha Manchester United.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video