
BACK IN BUSINESS! Leo tarehe 08.09.2014 timu imerejea kwenye
mazoezi kwenye uwanja wa Azam Complex-Chamazi tayari kwa maandalizi ya mchezo
wa Jumapili ijayo dhidi ya Yanga ya Dar es Salaam. Beki kisiki AGGREY MORIS
AMBROSI amerejea kundini baada ya kuwa mgonjwa na kushindwa kusafiri na timu ya
Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwenda Burundi kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya
timu ya Taifa ya Burundi 'Intamba Murugamba'.

0 comments:
Post a Comment