\


Azam FC imemaliza mazoezi kwa wiki hii kwa kufanya mazoezi ya
Ufukweni katika fukwe za Coco. Jioni wachezaji watapata fursa ya kuiona Simba
ikicheza na mabingwa wa Kenya, Gor Mahia, pale taifa baada ya Jumatano kuiona Yanga.
Mazoezi yataendelea Chamazi Jumatatu ambapo ni kuelekea ile shughuli ya tarehe
14 September.

0 comments:
Post a Comment