Picha zote kwa hisani ya Blog ya Michezo ya Bin Zubeiry
Mheshimiwa Zitto Kabwe - "#TaifaStars imecheza mechi
nyingi ambazo nimehudhuria, ndani na nje ya nchi. Sijaona wachezaji wakitokwa
machozi kama Jana. Ndani ya chumba cha kubadilisha nguo niliona uchungu na
machozi ya vijana wetu. Kwa pamoja walikuwa wanasema 'nyumbani kama ugenini,
ugenini ugenini'. Somo kubwa sana hilo."
0 comments:
Post a Comment