Thursday, August 28, 2014




Mabingwaw Bundesliga Bayern Munich wametangaza kukubaliana na mabigwawa Ulaya klabu ya Real Madrid juu ya uhamisho wa Kiungo mkongwe Xabi Alonso, kuziba nafasi za majeruhi zilizo wachwa na Javi Martinez, Bastian Shwanstiger na Thiago Alcantara.


Bayern Munich have made a move for Xabi Alonso
Xabi Alonso


Akithibitisha mbele ya waandishiwa Habari, mkurugenzi wa bodi ya Bayern munich, Jan-ChristianJeseen,  amesema kuwa klabu hizo zimekubaliana kuhusu uhamisho wa kiungo huyo mwenye umri wamika 32 na anafanyiwa vipimo vya afya leo Agosti 28, 2014. 


Alonso alijiungana Real Madrid mwaka 2009, akitokea Liverpool na kufanikiwa kuichezea m
Madrid mechi zaidi ya 200, mkataba wa awali wa Alonso ulikuwa unamalizika mwaka 2016, lakini analazimika kuondoka Santiago Bernabeukutokana na ugumu wanafasi katika kikosi cha kwanza cha Carlo Anchelloti kutokana na uwepo wa Toni Kroos aliye jiunga naklabu hiyo akitokea Bayern Munich Julai mwakahuu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video