Monday, August 4, 2014


Anger: Jose Mourinho blamed the referee for turning Chelsea¿s pre-season preparations into a ¿circus'
Hasira: Jose Mourinho  alimlaumu mwamuzi kwa kuwaharibia maandalizi ya msimu.

 Imechapishwa Agosti 4, 2014, saa 1:39 asubuhi

MBWATUKAJI Jose Mourinho  amemlaumu mwamuzi kwa kusababisha maandalizi ya msimu ya Chelsea kuwa shubiri baada ya kutandikwa mabao 3-0 na Werder Bremen.
Didier Drogba akicheza kwa mara ya kwanza tangu arejee Chelsea, alishindwa kung`ara jana na kushuhudia vijana hao wa darajani wakiangukia pua.
Mwamuzi Harm Osmers, kutoka Hannover aliwapa penalti mbili rahisi wenyeji, moja ni baada ya John Terry kuushika mpira kwa mkono  na nyingine kuangushwa kwa Nathan Ake. 
Maamuzi hayo ya penalti hayakumridhisha Mourinho na kuyaita 'hayana maana'.
Baada ya kupoteza mechi katika ziara hiyo nchini Ujerumani, Mourinho na Chelsea yake wamerejea usiku mjini London.
Well, if you don't laugh! Mourinho was pictured in the dugout finding one decision highly amusing 
Hahahaha! hapa hakuna kitu! Mouringo alipigwa picha akicheka baada ya maamuzi ya penalti
Pointing to the spot: John Terry was adjudged to have handled in the box, a decision Mourinho called nonsense
John Terry aliushika mpira kwa mkono kwenye eneo la hatari na kusababisha penalti, lakini Mouringo amesema maamuzi hayo hayana maana.

"Sijajifunza lolote kutoka kwenye mchezo,' Alisema Mourinho. 'Matarajio yetu hayajatimia kwasababu tulipoamua kuwa na mechi hii mjini Bremen tulitegemea changamoto nzuri.
'Tuligemea mchezo wa kasi na ushindani, lakini tulipokuja hapa, mwamuzi alidhani mchezo huu ni muhimu kwa mashabiki wa Bremen ili wafurahi na aliua mechi.
'Mchezo huu ungekuwa mzuri kwetu. Nimeipenda timu ya Werder Bremen-wana kasi, nguvu na wanalinda na watu wengi. Upinzani ni wa kutosha, lakini tungeweza kucheza vizuri.'
Tricky: Striker Didier Drogba was largely ineffectual during the defeat away in Germany 
Mshambuliaji Didier Drogba hakuonesha makali katika mechi ya jana nchini Ujerumani.k

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video