Thursday, August 21, 2014



Kazamia nyumbani!: Edin Dzeko akisaini mkataba mpya.

EDIN Dzeko amesaini mkataba wa miaka minne na mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini England, Manchester City.
Nyota huyo wa kimataifa wa Bosnia aliandika katika mtandao wake wa Twita kuwa amesaini mkataba na alisema: "Nimefurahi na najivunia kuongeza mkataba na Manchester City. Nipo pale ninapopenda. Nimeongeza mpaka 2018.
Mshambuliaji huyo aliifungia mabao 65 klabu yake katika mechi 156 alizoichezea tangu ajiunge nayo mwaka 2011 kutokea klabu Wolfsburg ya Ujerumani.
All smiles: Dzeko poses for the camera having committed himself to the club until 2018
Maisha yanataka nini tena?: Dzeko akipozi mbele ya Camera baada ya kuanguka miaka minne, sasa atadumu Etihad mpaka 2018

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video