Friday, June 27, 2014



 http://ilkhabergazetesi.tv/wordpress/wp-content/uploads/2013/06/10_numara_brezilyada_bulundu_h2705.jpg
BAADA ya kocha mpya wa klabu ya Yanga, Mbrazil,  Marcio Maximo kuwasili jana nchini pamoja na msaidizi wake Leonadro Martins Neiva , mchana wa leo kiungo mshambuliaji Andrey Macrcel Ferreira Coutinho tayari yupo ndani ya Dar.
Coutinho amewasili mchana wa leo kwa shirika la Ndege la Afrka Kusini tayari kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Young Africans kwenye maandalizi ya msimu mpya wa 2014/2015

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video