Saturday, April 12, 2014

EVERTON imeifunga bao 1-0 Sunderland nyumbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa Light jioni hii.
Bao lililoizamisha Everton alijifunga beki wa Sunderland, West Brown dakika ya 75 katika harakati za kuokoa krosi ya winga Gerard Deulofeu anayecheza kwa mkopo.
Matokeo hayo yanaifanya Everton ifikishe pointi 66 baada ya kucheza mechi 33 na kupanda hadi nafasi ya nne,ikiishusha Arsenal ambayo ina pointi 64 za mechi 33 pia, hivyo kujiweka kwenye hatari ya kukosa tiketi ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Ushindi: Wachezaji wa Everton wakishangilia bao la kujifunga na Wes Brown lililowapa ushindi jioni hii Uwanja wa LightLow point: Brown looks into the net after scoring an own goal for Sunderland
Majuto mjukuu: Brown akisikitika baada ya kujifunga na kuizamisha timu yake, Sunderland

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video