PICHA NA PHLEMONI SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi.akielezea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, kuhusiana na maendeleo ya miundo mbinu ya maji kupitia mpango wa matokeo makubwa sasa.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe akisoma hotuba yake Machi 16, 2014 wakati akizindua rasmi maadhimisho ya 26 ya wiki ya maji yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani Dodoma,mara baada ya kufanya uzinduzi huo Waziri Maghembe, amewataka wananchi kuacha kutumia kuni na mkaa kwa matumizi ya nyumbani na badala yake kutumia gesi kama nishati mbadala Maadhimisho hayo yanayolenga kuelimisha jamii juu ya matumizi bora ya maji na mazingira , huku kauli mbiu ikiwa ni Uhakika wa Maji na Nishart.
Baadhi ya viongozi wa serikali pamoja viongozi wengine wakishuudia uzinduzi huo.
sh
Kikundi cha ngoma cha asili ya Kigogo kikitoa burudani kwenye maadhimisho ya 26 ya wiki ya maji yanayofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Msanii wa Nyimbo za asili kundi la Hyali ya Moyo,Mwinamila akionye umahiri wake wakucheza wakati wa maadhimisho hayo.





0 comments:
Post a Comment