MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MATEMBEZI KWAAJILI YAKUHAMASISHA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI DODOMA MACHI 15,2014 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua matembezi kwa ajili ya maji, yaliyolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice Mkwawa. PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA Kikundi cha ngoma ya asili ya Kigogo kikitoa burudani kabla ya kuanza matembezi kwa ajili ya kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya CHIBELELA wilayani BAHI Machi 15, 2014Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa tayari kuongoza maandamano.Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.Watatu kulia, ni Katibu wa CCM Tawi la Chibelela Bahi, Tito Lusinde akiwa pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejipanga kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.Wakazi wa kata ya Chibelela wilayani Bahi nao wakiwa tayari kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.akipanda Mti wakati wa matembezi kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.matembezi hayo yalifanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014.
0 comments:
Post a Comment