Huwezi kutaja watangazaji bora wa habari duniani kwa sasa ukaacha kumtaja Mtanzania, Salim Kikeke anayefanya kazi BBC Swahili.
Picha hii ameweka katika ukurasa wake wa facebook na kuandika maneno haya;
"Na sasa tuangazie taarifa nyingine zinazogonga vichwa mbalimbali vya habari duniani...... — with JB Mashori.:
0 comments:
Post a Comment