Wednesday, March 19, 2014

????????Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwa amefuatana na Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe pamoja na viongozi wengine wa serikali wakielekea kukagua kisima cha maji kilichopo eneo la Kikombo nje kidogo ya Mji wa Mpwapwa.????????Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipata ufafanuzi kutoka kwa Meneja Miradi wa Mamlaka ya Mpwapwa, Bw. Shadrack Matemba Sam (kushoto kwa Makamu wa Rais) kuhusiana na mradi wa maji wa Kikombo mjini, Mpwapwa. Dr Bilal amefuatana na mkewe Mama Asha Bilal aliyesimama kushoto mwa Wazir wa Maji, Prof Jumanne Maghembe.????????Muonekano wa kisima hicho????????Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohamed Gharib Bilal akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Rehema Nchimbi, Mama Asha Bilal, Mkuu wa wilaya Bw. Christopher Kangoye, Mbunge wa Mpwapwa, Gregory Teu na Prof Maghembe.????????Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt.       Mohamed Gharib Bilal akizindua rasmi mradi huo.????????Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt.       Mohamed Gharib Bilal akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa Mji wa Mpwapwa wakati alipozindua mradi wa maji katika mji huo jana 
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video