"Tatizo la msingi kabisa kwa Muungano wa Tanzania ni la muundo wenyewe wa muundo wa muungano wa Serikali mbili badala ya tatu ambao umetoholewa kutoka mifano ya miungano ambayo imeundwa kutokana na chimbuko la ukoloni kama ilivyokuwa kwa United Kingdom of Great Britain na Northern Ireland pengine kwa sababu Mwanasheria Mkuu wa Tanganyika wakati huo alikuwa Rolland Brown ambaye ni Mwingereza" - Randama ya Rasimu ya Katiba, Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Home
»
»Unlabelled
» KAULI YA LEO YA ZITTO KABWE KUHUSU TATIZO LA MSINGI LA MUUNGANO WA TANZANIA HII HAPA
Thursday, March 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment