Friday, December 20, 2013

image (2)Mwenyekiti wa Tume ya Bodi ya Parole, Jaji Mstaafu Eusebia Munuo(kulia) akiwaongoza Wajumbe wa Bodi kutembelea sehemu mbalimbali ya Utalii eneo Maarufu lijulikanalo Snake Park lililopo nje kidogo ya Jiji la Arusha leo Desemba 20, 2013 baada ya kumaliza Kikao Kazi cha Bodi hiyo(kushoto) ni Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Francis Stolla.image (3)Wajumbe wa Bodi ya Taifa ya Parole wakiangalia Mamba mdogo ambao wanafugwa katika eneo la Snake Park kama anavyoonekana katika picha walipotembelea leo Desemba 20, 2013 baada ya kumaliza Kikao hicho cha siku mbili.image (4)Wajumbe wa Sekretarieti ya Bodi ya Taifa ya Parole wakiwa wamemshika nyoka ambaye anafugwa katika eneo hilo la Snake Park lililopo nje kidogo ya Jiji la Arusha walipotembelea eneo  hilo. Nyoka huyo kwa mujibu wa Muongozaji wa Watalii hana sumu yeyote na hivyo aina ya nyoka huyu ni Rafiki sana wa Binadamu kwani hana madhara yeyote kama anavyoonekana katika picha.image (5)Bw. Ayubu Mwenda(pichani nyuma)ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Taifa ya Parole toka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali akitumia Usafiri wa Ngamia wakati Wajumbe walipotembelea eneo la Utalii la Snake Park lililopo nje kidogo ya Jiji la Arusha leo Desemba 20, 2013 baada ya kumaliza Kikao Kazi cha Bodi hiyo. Wengine katika picha ni Wajumbe wa Sekretarieti ya Bodi ya Taifa ya Parole wakifurahia Usafiri huo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video