Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma
Shamuhuna,wakati alipowasili Chuo Kikuu cha Taifa,kampasi ya
Tunguu,katika sherehe za mahfali ya 9 ya chuo hicho,ambayo wahitimu wa
fani mbali mbali wamepatiwa Shahada,Stashahada na Vyeti.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA,alipowasili katika
mahfali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati
Unguja, leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali wa Chuo Kikuu chaTaifa SUZA,wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9
chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja,
leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili
kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo
hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja
leo,yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi ya kompyuta,yaChuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,wakisimama walipotunukiwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu,yaChuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,baada ya kutunukiwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia yahabari,waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya
Tunguu leo,(kutoka kushoto) Stewat Njelekela,Seif Mohamed Nassor na
Husna Shaabani Bwamadi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:
Post a Comment