Waziri
wa Elimu, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na waandishi wa Habari mara
baada ya kutembelea banda ya Arusha Technical College. Chuo hicho
kinatoa mafunzo ya Uchakataji madini na kutoa wataalamu wanaokubalika
katika soko

Waziri
wa Elimu, mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa akipokea Maelezo mafupi kuhusu
Kozi ya Ukataji Madini na Utengenezaji wa Vito vya thamani kutoka kwa
Bi. Shahzimin Premji alipotembelea banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika (Kushoto) alimkabidhi waziri wa Elimu, Dkt. Shukuru Kawambwa moja wa Vito vya thamani vilivyochongwa na wanafunzi wanaosoma Kozi ya Ukataji madini Chuo cha Ufundi Arusha |
0 comments:
Post a Comment