Tuesday, November 26, 2013

IMG_0499Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi Joyce Mwakisyala akisisitiza jambo wakati akiongea na Wadau mbalimbali wa Michezo katika ukumbi wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam. Wadau wa Michezo wamekutana leo Jijini Dae es Salaam na Wizara kwa ajili ya kujadili, kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Utekelezaji  wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Michezo ya Mwaka 2013. Katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo, Bibi. Juliana Yassoda. IMG_0506Mwakilishi wa Katibu Mkuu Shirikisho la Ngumi la Taifa (BFT),  Bw. Michael Changarawe akichangia hoja wakati Wadau wa Michezo walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya kujadili, kutoa maoni na ushauri kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Michezo ya Mwaka 2013 leo Jijini Dar es Salaam. IMG_0511 
Bibi. Sharifa Luvindi (aliyesimama) wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Idara ya Sera na Mipango akichangia katika mjadala kuhusu Rasimu ya Mkakati wa Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Michezo ya Mwaka 2013 uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
(Picha zote na Concilia Niyibitanga, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video