Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida kulia akiwaonesha pikipiki itakayogombaniwa Dar es salaam jana na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Mohamed Matumla siku ya Desemba 25 katika ukumbi wa friends corner wengine wa pili kushoto ni Rashidi Matumla,Christopher Mzazi na mlatibu wa mpambano uho Kaike Siraju Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mratibu
wa mpambano wa ndondi Kaike Siraju akiojiwa akiwa juu ya pikipiki
itakayogombaniwa na mabondia Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani siku
ya Desemba 25 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mkongwe Rashidi Matumla akizungumzia mpambano wa mwanae Mohamedi Matumla na Nassibu Ramadhani litakarofanyika Desemba 25
Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida akihojiwa
| Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida kulia akiwaonesha pikipiki itakayogombaniwa Dar es salaam jana na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Mohamed Matumla siku ya Desemba 25 wengine wa pili kushoto ni Rashidi Matumla,Christopher Mzazi na mlatibu wa mpambano uho Kaike Siraju Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |

0 comments:
Post a Comment