Monday, November 25, 2013

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), kutoka Lindi, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi Ndugu Ali Mtopa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013. IMG_8006 
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete, akivishwa skafu mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013.
IMG_8093 
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisononeka baada ya kubaini kuwa watoto wengi wanaoonekana katika picha kutoka Kijiji cha Jangwani wamekatisha masomo yao. Mama Salma alikwenda kijijini hapo kuongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi hilo tarehe 24.11.2013
PICHA NA JOHN LUKUWI.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video