Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga
akiwa pembeni ya Kombe la Dunia lililopo nchini katika ziara zake leo
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Leonard Thadeo akiwa pembeni ya Kombe la Dunia lililopo nchini
katika ziara zake leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga
(katikati) akielekea katika banda lilipo Kombe la Duni wakati wa ziara
ya Kombe hilo hapa nchini leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo na Kushoto ni Meneja wa Uwanja wa
Taifa Rish Moses Urio.
Baadhi
ya mashabiki wa mpira wa miguu waliofurika uwanja wa Taifa kushiriki
ziara ya Kombe la Dunia wakiwa katika foleni ya kuelekea eneo lilipo
Kombe hilo leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – WHVUM
Picha zote na Frank Shija – WHVUM


0 comments:
Post a Comment