Mkurugenzi
wa kampuni ya burudani ya Chief Promoters, Amon Muoga (watatu
kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi
wa Idara ya habari (MAELEZO), kuhusiana na mafunzo ya siku moja
yatakayowakutanisha zaidi ya wasanii wa muziki 200. (kulia
kwake) , ni Mkuu wa mipango wa uchangiaji wa Hiari (PSPF), Matilda
Nyallu, akifuatiwa na Msanii wa muziki,Chritoms Mwingira (Dj Snox),
Msanii wa muziki, Jumanne Omary (Jb Mkuu wa Majaji)
Mkurugenzi
wa kampuni ya burudani ya Chief Promoters, Bw. Amon Muoga, na Mkuu wa
mipango wa uchangiaji wa Hiari (PSPF),pamoja na wasanii wakiwa kwenye
picha ya pamoja.
Picha na Philemon Solomon wa fullshangwe Dar es salaam


0 comments:
Post a Comment