Monday, October 21, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
KIKOSI cha Wakatalunya, Fc Barcelona kimewasili leo jijini Milani nchini Italia tayari kwa kipute cha kesho cha kundi H katika michuano ya  ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA) dhidi ya AC Milani jumanne ya kesho.
Barcelona watakabliana na wenyeji wao katika dimba la San Siro na leo hii nyota wake Neymar, Alex Song na Dani Alves walipiga picha moja kali wakiwa katika mavazi ya suti safi kabisa baada ya kutua Italia.
Nyota hao walivalia suti kali zilizobuniwa vizuri, miwani ya nguvu na kusababisha wafanyakazi wa uwanja wa ndege kudhani kuwa waagizaji wa filamu wamewasili.
Hipsters: Neymar (left), Dani Alves (middle) and Alex Song (right) looking smart in Milan 
Wakali: Neymar (kushoto), Dani Alves (katikati) na Alex Song (kulia) wakionekana watanashati wakubwa jijini Milani
Safari ya Milan si ngeni kwa wachezaji wa Barcelona kwani timu hizo zimekutana mara sita katika misimu miwili iliyopita na kwa kipindi chote hicho, Barca wametawala zaidi na kuwatoa mara mbili AC Milani katika michunao hiyo ya UEFA.
Jumanne ya kesho usiku, miamba hiyo inakutana kusaka pointi tatu muhimu katika kundi lao la H linalojumuisha mabingwa wa Scotland, klabu ya Celtic na wachechemeaji wa Uholanzi, klabu ya Ajax.
Milan kwa sasa wana hali mbaya zaidi ligi ya Seria A baada ya kuanza vibaya na wapo nyuma kwa pointi 13 kwa vinara AS Roma.
Pia wanandinga hao wa Italia wanakabiliwa na wimbi la majeruhi ambapo mlinda mlango wao Christian Abbiati, Mlinzi Daniele Bonera na mshambuliaji Stephan El Shaarawy, Mario Balotelli na Giampaolo Pazzini bado wanatibiwa katia chumba cha matibabu.
Double denim: Alexis Sanchez (left) and Jonathan dos Santos (right) show-off their designer shirts 
Wakali wawili: Alexis Sanchez (kushoto) na Jonathan dos Santos (kulia) -wakionesha mashati yao yaliyobuniwa vizuri

On board: Barcelona stars striking a pose on their flight to Milan 
Kwenye pipa:  Nyota wa Barcelona wakiwa katika pozi la picha ndani ya ndege wakielekea jijini Milan

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video