Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akimpatia tiketi ya ndege na nyaraka zinginezo, Nuru Sinna ambaye ametimiza vigezo kwenda kufanya kazi Dubai, Falme za Kiarabu katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Jaffari Kingwande (wa pili kulia) ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bravo Job Centre iliyofanikisha kupata kazi hiyo pamoja wengine wengi watakaokwenda siku za usoni.Wa pili kushoto ni Mohamed Omari Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo.
Home
»
»Unlabelled
» MTEMVU AKABIDHI TIKETI KWA WATANZANIA ALIOWATAFUTIA KAZI DUBAI
Wednesday, September 4, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment