Mkimbiza
Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akiimba wimbo
wa kuusifia Mwenge wa Uhuru (Tumeuwasha mwenge wetu na uhuru na kuuweka
juu ya mlima Kilimanjaro) wakati wa halfa ya chakula cha usiku
iliyofanyika hivi karibuni huko mnazi mmoja kwa ajili ya kuwaaga
wakimbiza Mwenge huo ambao walikuwa wamaelekea Mkoani Mtwara. Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa mbio
za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai.
Mkimbiza
Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akiangalia
mojawapo ya vyeti walivyokabidhiwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa
wakati wa halfa ya chakula cha usiku ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza
Mwenge hao iliyofanyika hivi karibuni huko mnazi mmoja Mkoani Lindi.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa
mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai na akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya Lindi Dk.Mohamed Nassoro.
Mkimbiza
Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi
cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi
Lt.Lubinga kutoka Iringa katika halfa ya chakula cha usiku kwa ajili
ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza Mwenge hao iliyofanyika hivi
karibuni huko Mnazi mmoja Mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo
Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru
Taifa Juma Ali Simai akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dk.Mohamed Nassoro
Mkimbiza
Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi
cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi
Lt.Zuwena Abdallah wakati wa halfa ya chakula cha usiku kwa ajili
ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza Mwenge hao iliyofanyika Mnazi mmoja
Mkoani humo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila na
kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dk.Mohamed Nassoro.
Mkimbiza
Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi
cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi Juma
Ali Simai ambaye ndiye Kiongozi wa mbio hizo kitaifa katika halfa
ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza
Mwenge hao iliyofanyika hivi karibuni huko Mnazi mmoja Mkoani humo.
(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)

0 comments:
Post a Comment