- ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUFANYA KAZI KWA KUJITOLEA
- AWAAGIZA VIONGOZI WA CHAMA KUWA KARIBU NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI
- APONGEZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI
- ASEMA KATIBA HAITABADILISHA MAISHA KAMA KUFUMBA NA KUFUMBUA MACHO.
- AWAAMBIA WATENDAJI WA SERIKALI HAWANA BUDI KUTEMBELEA WANANCHI BADALA YA KUJIFUNGIA OFISINI
- ASIKITISHWA NA UZEMBE WA KUTOWAPA TAARIFA WANANCHI KWA WAKATI
Katibu
Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pole John Shilindi mtoto
wa Balozi wa Shina namba 1 kata ya Dakama wilaya ya Maswa aliyefariki
hivi karibuni.
Kikundi
cha Ngoma kikionyesha uwezo wake wa kucheza ngoma ya Pudini ambao ni
wasukuma wachunga Ng’ombe wakati wa mapokezi ya Katibu mkuu wa CCM
wilayani Meatu.


0 comments:
Post a Comment