


Afisa
Mipango Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya
haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED), Risala Msemo
akifafanua jambo kuhusu mradi wa haki za kisheria kwa watu wenye
ulemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO. Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa DOLASED Gidion Mandesi.
Picha zote na Magreth Kinabo-Maelezo
0 comments:
Post a Comment