Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akiwasili Kwenye Uwanja wa Shujaa
Mkoani morogoro Akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi
Wakati wa hafla
fupi ya kumpongeza Bondia Francis Cheka aliyeiletea sifa nchi kwa
kushinda ubingwa wa dunia kwa Kwa kumchapa bingwa wa dunia Mmarekani
Bondia Williams
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akimpokea Bondia Francis Cheka
wakati akiwasili uwanjani katika halfa ya kumpongeza Bondia huyo
aliyenyakua Ubingwa wa Dunia Kwa Kumchapa bondia kutoka Marekani.

Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akikabidhiwa Mkanda wa Ubingwa wa
Dunia kutoka kwa Bondia Francis Cheka jana Mjini Morogoro

Bondia Francis Cheka akitoa neno la Shukrani na Pembeni yake Ni Mke wa Bondia Huyo
Kocha wa Bondia Huyo Aliyefahamika kwa jina la Komando Akisema Machache wakati wa Halfa hiyo jana
Mkuu wa wilaya ya Mvomero na rais wa Riadha Tanzania Mh Antony Mtaka Akisema machache
Akizungumza
katika hafla Mkuu wa Mkoa Mh Joel Bendera alisema ushindi wa Cheka ni
sifa kwa tanzania katika mchezo wa ngumi. Bondia Francis Cheka
amezawadiwa kiwanja mabati, na Tani moja ya saruji
Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG
Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG
0 comments:
Post a Comment