Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa
la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya
Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali
na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi
jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka kupata huduma
ya Mtandao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimsikiliza Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akitoa maelezo jinsi alivyopata mkasa wa kutiwa Tindikali jana na watu wasiojulikanwa,katika
mtaa wa Mlandege Mjini Unguja, alipofika katika Hospitali ya Mnazi
Mmoja kumpa pole,ambapo amelazwa na kuapatiwa matibabu.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwafariji jamaa na wafuasi wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole Padri huyo baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasiojulikanwa jana jioni Mtaa wa Mlandege Mjni Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mmoja wa Ngugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akimueleza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,hisia zake
kwa Uchungu kutokana na kitendo hicho cha kumwagiwa Tindikali
na watu wasiojulikanwa kwamba zilichukuliwe hatua za kisheria na
kukomeshwa Vitendo kama hivyo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifafanua jambo wakati alipokuwa
akiwafariji jamaa na wafuasi wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa wa Mlandege Mjini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
akiwafariji jamaa na wafuasi wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa wa Mlandege Mjini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment