Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wateule watakaoiwakilisha
Tanzani katika mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni Mbarouk Nasoro
Mbarouk (Umoja wa Falme za kiarabu _UAE), Modest Jonathan Maro Umoja wa
matifa _Geneva) Wilson Masilingi (Uholanzi), Liberata Mulamula
(Marekani), Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo (China), Chabaka
Kilumanga (Comoro), na Anthony Cheche atakayekwenda Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Home
»
»Unlabelled
» WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKUTANA NA MABALOZI WATEULE
Wednesday, July 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment